KIBAKI:Kutana na wajukuu wa hayati Mwai Kibaki

Muhtasari
  • Kutana na wajukuu wa hayati Mwai Kibaki
RAIS MSTAAFU MWAI KIBAKI
Image: FREDRICK OMONDI

Rais wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki amefariki dunia leo. Marehemu mkuu wa nchi alifunga ndoa na marehemu Mama Lucy Kibaki na wanandoa hao walijaliwa watoto 5; Jimmy Kibaki, Tony Kibaki, Wangui Mwai, Judy Kibaki, na David Kibaki.

Watoto hao pia walibarikiwa na watoto kadhaa wazuri na wa ajabu ambao ni wajukuu wa wa mwendazake Kibaki miongoni mwao Mwai Junior, Sean Andrew, na Muthoni Kibaki.

Wajukuu wengine wasiojulikana sana ni; Joy Jamie Marie, Rachael Muthoni, na Krystina Muthoni.

Wakati huo huo, Sean Andrew, ndiye maarufu zaidi kati ya wajukuu na ameangaziwa mara nyingi kwenye blogi nyingi za mtandaoni kwa sura yake nzuri, uhusiano na maoni ya kuvutia.

Image: HISANI
Image: KWA HISANI