(Video) Wanawake wa Korea Kusini wagandisha mayai ya uzazi kwa fiji ili kupata watoto baadaye

Muhtasari

• Nchini Korea Kusini, wanawake wachache wanapata watoto na wale wanaotaka kuzaa hawana haraka.

Nchini Korea Kusini, wanawake wachache wanapata watoto na wale wanaotaka kuzaa hawana haraka. Gharama za juu za nyumba na elimu hufanya usalama wa kifedha kuwa wa lazima. Flora Bradley-Watson anaripoti.