Alijifanya ameokoka ili anioe,kisha akaniacha na mtoto-Mwanamke aeleza jinsi alivyosalitiwa na mumewe

Muhtasari
  • Kweli hatuwezi kulaumu kila kitu kwenye uchumi mbaya kwa sababu iwe nayo au bila kuna makosa  ambayo hatupaswi  kufanya kama wanadamu
sad woman
sad woman

Nairobi ni Shamba la mawe na nina naamini tayari unajua kuwa tofauti na zamani ungemwamini mtu kwa neno lake.

Nyakati zimebadilika na kila mtu anakuwa mjanja kwa njia yake mwenyewe.

Kweli hatuwezi kulaumu kila kitu kwenye uchumi mbaya kwa sababu iwe nayo au bila kuna makosa  ambayo hatupaswi  kufanya kama wanadamu.

Mjomba wangu aliishi kuniambia kwamba sio wote ambao wamo kanisani, wanaenda kumwambudu Mungu, balu kuna wale wana malengo tofauti.

Lakini aliowazungumzia wengi na wanaume ambao wameokoka hadi kuppita kiasi, alinitaadharisha na kuniambia niepukane na wanaume kama hao.

Sasabu ya kuniambia ivi ni ipi?

Sababu yake kuu ni kuwa asilimia kubwa ya wanaume hao wamekuja kutafuta bibi kwenye kanisa na kisha waache kuenda kanisa kwani wamepata kile ambacho walikuwa wanalenga.

Hivi majui nimeamini ushauri wa mjomba kwani, nikiwa kwenye ziara yangu nilipatana na mwanamke ambaye alisimulia jinsi alivyoachwa na mumewe.

"Mimi nilipatana na aliyekuwa mume wangu kweye kanisa, na kwanza alikuwa ameokoka kupita kiasi, kwani hata mimi nilikuwa na jiona mwenye dhambi

Tulifunga ndoa, na baada ya mwaka na nilianza kugundua tabia zake ambazo hazikunipendeza, nilimuamini, kumbe kiini chake au jambo lake lilitimia baada ya kunioa,hata hatukumaliza nusu mwaka aliacha kuenda kanisani na kusingizia kazi

Nilimvisha,nikamlisha na usisahau hii ni Nairobi, yaani kwwa ufupi nilikuwa najukumikia kila kitu kwa nyumba hata baada ya kumpata ntoto wangu wwa kwanza

Nilimfanyia kila kitu,lakini ukweli ni kwamba mwanamumee huyo sijawahi muona ameninunulia ata kama ni chupi ya mia moja, baada ya muda mwanamke alipiga simu na kusema kwwamba yeye ni deadbeat father na hajakuwa anashughulikia mtoto wake kwa muda sasa

Cha mno mwanamume huyo alikiri kutonipenda na kuwa alikuwa ananitumia tu, kwa sasa ni miaka mingii ambayo imepita kwani mtoto niliyepata naye ana miaka 21

Baada ya kuachana nilisikia kwamba sio mimi tu alnifanyia hivyo bali wanawake kadhaa.niliamini kwamba sio wotee wamwwitao bwana watangia kweye ufalme wa Mungu,sijawahi juta kukutana naye kwani alinipa ujasiri ambao sikuwahi kuwa nao, na kutokana na hayo nitamfunza msichana wangu jinsi ya kuishi na wanaume wa karne ya sasa, na jinsi ya kujikinga na wala asiamini kila mwanamume anapita, kwani wanawake ni kama maua wanapendeza kila mtu

Walisema kwa kimombo 'love is blind' lakini yangu ilikuwa na macho tangu siku hiyo nilipogundua ukweli kuhusu baba mtoto wangu