Picha - Uhuru aongoza mkutano wa mawaziri Manyani

Muhtasari

Rais alilakiwa na waziri Fred Matiang'i huku naibu rais William Ruto akitazama

Mkutano unafanyika katika chuo cha mafuzo cha KWS Manyani

Mkutano uliongozwa na rais Kenyatta na kuhudhuriwa na naibu rais William Ruto 

Rais Uhuru Kenyatta alakiwa na waziri Fred Matiang'i huku naibu rais William Ruto akiangalia
Rais Uhuru Kenyatta alakiwa na waziri Fred Matiang'i huku naibu rais William Ruto akiangalia
Rais Kenyatta amsalimu naibu rais William Ruto baada ya kulakiwa na waziri Matiang'i
Rais Kenyatta amsalimu naibu rais William Ruto baada ya kulakiwa na waziri Matiang'i
Rais Kenyataa aamkuana na maafisa wakuu wa serikali wakiongozwa na mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kinyua. picha: PSCU
Rais Kenyataa aamkuana na maafisa wakuu wa serikali wakiongozwa na mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kinyua. picha: PSCU

Rais Uhuru Kenyatta alilakiwa na waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang'i na wala sio naibu rais William Ruto kama inavyostahili katika itifaki.

Mwanasheria mkuu Paul Kihara na waziri wa mambo ya ndani Fred Matiang'i wasikiza hotuba ya rais. picha: PSCU
Mwanasheria mkuu Paul Kihara na waziri wa mambo ya ndani Fred Matiang'i wasikiza hotuba ya rais. picha: PSCU
Waziri wa elimu George Magoha
Waziri wa elimu George Magoha
Rais Kenyatta aongoza mkutano
Rais Kenyatta aongoza mkutano