Muhtasari
- Picha za seneta wa Narok akiwa Bungeni
Seneta wa kaunti ya Narok Ledama Ole Kina anafahamika sana kwa utendakazi wake na hata msimamo wake katika sekta ya kisiasa.
Hii leo akiwa kwenye mkutano wa bunge Ledama alionekana akiwa amevalia mavazi ya Maasai.
Leo hii katika picha ya siku tunaangazia mavazi yake seneta huyo na hizi hapa baadhi ya picha hizo.