(Video) Majambazi kwa pikipiki wakutana na hasira ya dereva

Muhtasari

Mwenye gari alisimama kwa ghafla kabla ya kuligeuza gari na kuwagonga washukiwa wawili wa ujambazi waliokuwa kwa pikipiki.

Washukuwa walikuwa wamejihami kwa bunduki.