Shireen Abu Akleh: Ripota wa Al Jazeera aliuawa kwa risasi za Israel

Muhtasari

• Vikosi vya Israel vilimpiga risasi Shireen Abu Akleh kichwani alipokuwa kazini huko Jenin katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa.