Picha: Gari la Willy Paul lenye mapambo ya kipekee kwa ajili ya kukodisha

Msanii huyo alidokeza kwamba hiyo ndio biashara yake nyingine kando na muziki.

Muhtasari

“Fungua kuona gari langu jipya, biashara yangu mpya" - Willy Paul.

Picha za gari la Willy Paul ambalo alisemqa ndio biashara yake mpya, kukodishaa

Image: Facebook

Msanii wa kizazi kipya nchini Kenya, Willy Paul amezindua gari lake jipya ambalo limepambwa kwa njia ya kipekee.

Gari hilo ambalo ni la abiria kumi na nne Pozee, kama ambavyo anajiita kimajazi amesema lipo tayari kutumika na lipo wazi kwa watu kulikodisha kwa matumizi ya kibinafsi.

Picha za gari la Willy Paul ambalo alisemqa ndio biashara yake mpya, kukodishaa
Picha za gari la Willy Paul ambalo alisemqa ndio biashara yake mpya, kukodishaa

Katika picha mbali mbali ambazo Willy Paul amepakia kwenye mtandao wake wa Facebook, zinaonesha akiwa amechorwa kwenye gari pamoja na majina yake ya kimajazi kama Pozee, pamoja pia na jina la lebo yake ya Saldido.

Alidokeza kwamba huenda hiyo ndio biashara yake mpya ambayo ameanza, kuyapamba magari na kisha kuyakodisha kwa matumizi maalum.

Picha za gari la Willy Paul ambalo alisemqa ndio biashara yake mpya, kukodishaa
Picha za gari la Willy Paul ambalo alisemqa ndio biashara yake mpya, kukodishaa

“Fungua kuona gari langu jipya, biashara yangu mpya. Utukufu wote ni kwa Mungu. Lipo wazi kwa ajili ya kukodisha, kitu chenye haiba yake rafiki zangu,” Willy Paula aliandika.

Hapa tunakuandalia baadhi ya picha za gari hilo na jinsi lilivyopambwa kweli kweli.