Kwa picha: Hali ya ndege iliyopata ajali Ziwa Victoria

Ndege hiyo ilifanikiwa kusogezwa hadi karibu kabisa na ukiongo wa Ziwa Victoria.

Kwa picha: Hali ya ndege iliyopata ajali Ziwa Victoria
Kwa picha: Hali ya ndege iliyopata ajali Ziwa Victoria
Image: BBC

Hali ya ndege ya shirika la Precision PW 494 iliyopata ajali siku ya jumapili, baada ya jitihada za wananchi na mamlaka nchini Tanzania, ndege ilifanikiwa kusogezwa hadi karibu kabisa na ukiongo wa Ziwa Victoria. Ndege hiyo ilkua ikitoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kupitia Mwanza. Ilipata ajali wakati inakatiria kutua katika uwanja wa mji wa Bukoba.

Precision Air ndiyo shirika kubwa la ndege la kibinafsi la Tanzania na kwa sehemu inamilikiwa na Kenya Airways. Ilianzishwa mnamo 1993 na inaendesha safari za ndege za ndani na kikanda.