Mwanamume atiwa mbaroni kwa kuwalawiti,Wavulana 2 Murang'a

Muhtasari
  • Mwanamume atiwa mbaroni kwa kuwalawiti,Wavulana 2 Murang'a
Pingu
Image: Radio Jambo

Wapelelezi wa DCI wamemkamata mwanamume aliyehukumiwakuwalawiti wavulana 2 wa miaka 7,katika eneo la Kenol, kaunti ya Murang'a.

Mtuhumiwa, aliyejulikana kama Kariuki Alias Moi alikamatwa Jumatano baada ya wavulana wawili ambao walipotea kutoka nyumba zao Jumatatu usiku, na kisha kueleza nini haswa wlipitia mikononi mwa mtuhumiwa.

"Mwanamume mmoja aliyeenda  kinyume na utaratibu wa asili kwa kuwalawiti watoto wachanga wa miaka 7 katika eneo la Kenol la Murang'ayuko mikononi mwa polisi Mtuhumiwa, aliyejulikana kama Kariuki maarufu Moi alikamatwa jana baada ya wavulana wawili ambao walipotea kutoka nyumba zao Jumatatu usiku."

Wanafunzi wawili wanaoenda shule walipatikana kwenye migingo ya Kenol, ambapo mtuhumiwa aliwaacha baada ya kutenda kitendo hicho cha kinyama,"DCI Alisema.

Siku ya Jumatano, Kinoti alisema mmoja wa mama wa watoto alisimulia wapelelezi wa DCI jinsi alivyomwona mwanawe pamoja na mwathirika mwingine kwenye eneo hilo.

"Alitumia usiku mzima Jumatatu, akimtafuta mtoto wake" Kinoti alisema.

Wavulana hao walipelekwa katika hospitali ya Muranga ya Level V kwa matibabu.

Watoto walipelekwa katika hospitali ya Murang'a ya Level V kwa tahadhari maalumu ya matibabu. Mtuhumiwa pia alipelekwa kwenye kituo hicho chini ya usalama mkali,  na vipimo muhimu zilizokusanywa kutoka kwa mwili wake kwa uchambuzi wa uchunguzi kwa kesi hiyo."