Dola milioni 415: Jinsi vilabu vimekuwa vikimwaga hela kumnunua Lukaku tangu 2011
Chelsea walimnunua kwa $17m 2011 kabla ya kumuuza 2014 kwenda Everton kwa $40m na kisha kumnunua tena kutoka Inter Milan 2021 kwa $127m na kumuuza 2024 kwenda Napoli kwa $33m
Muhtasari
• Mcherzaji huyo amevitumikia vilabu vya ligi ya EPL vikiwemo Chelsea, Everton, West Brom na Man Utd.