Babu Owino ajipata pabaya baada ya kupakia picha hii

Muhtasari
  • Baadhi ya viongozi na wanasiasa wamelaani vikali vurugu hivyo, huku DP Ruto na Raila wakirushiana vijembe mitandaoni
Babu Owino
Image: Facebook

Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino amejipata upande mbaya na wake nya kwenye mitandao ya kijamii ya twitter baada ya kupakia picha ya yaliyotokea Jacaranda Jumapili na kusema kwamba vurugu hivyo vilipangwa na muungano wa UDA.

Baadhi ya viongozi na wanasiasa wamelaani vikali vurugu hivyo, huku DP Ruto na Raila wakirushiana vijembe mitandaoni.

Babu amekuwa mfuasi sugu wa muungano wa Azimio One Kenya, baada ya kupakia picha hiyo alisema kuwa;

"Tazama picha hizi kwa makini.Wavulana waliovalia sare moja wakipiga gari la Ruto kwa mawe na wakati huo huo kutoa usalama katika mkutano huo huo.Wacha kutubeba mafala baada ya kupanga shambulizi lako,"Babu Aliandika.

Hizi apa baadhi ya hisia za wakenya kuhusiana na ujumbe wa mbunge huyo;

john william: Didnt you post about your supporters walking home after being done with work? Wewe unaenda nyumbani. We're not acting action movies, you almost killed that DJ guy.

CHAPLONG: Don't think you can take Kenya as if it's UON where you used to organise such nonesense. Watch your pace or else tutakufinya.

From the river to the sea: You will also try to convince us the DJ shot himselfu

Pato Kavu: Planned or not I see your hand in this. You knew they were going to have a meeting at this venue and you planned yours at the same venue