Fahamu kwa nini mwanahabari Hassan Mugambi anavuma Twitter

Siku zilizopita Mugambi aliweka uhusiano wake hadharani na hii inaweza kumfanya kuwa shabaha rahisi.

Muhtasari
  • Hii ni baada ya mwanablogu Edgar Obare kudai kwamba mwanahabari huyo ni 'dead beat'.
Hassan Mugambi na mpenzi wake Mwanaidy Shishi
Hassan Mugambi na mpenzi wake Mwanaidy Shishi
Image: INSTAGRAM

Mwanahabari wa runinga ya Citizen Hassan Mugambi kwa saa muda sasa amekuwa akivuma kwenye mitndao ya kijamii ya Twitter.

Hii ni baada ya mwanablogu Edgar Obare kudai kwamba mwanahabari huyo ni 'dead beat'.

Pia alidai Mugambi ana ndoa ya ziada na rafiki wa 'baby mama' wake.

Habari hizo zinadaiwa kuvujishwa na rafiki wa baby mama wa Mugambi.

Wengi wamemkashifu Obare wakisema anajaribu kusalia muhimu kwa kuharibu sifa za watu wengine.

Siku zilizopita Mugambi aliweka uhusiano wake hadharani na hii inaweza kumfanya kuwa shabaha rahisi.

Mugambi amechumbiana na Mwanaidy Shishi.

Wawili hao ambao wamekuwa wakichumbiana kwa muda sasa walichagua kuwaruhusu mashabiki na wafuasi wao katika maisha yao ya mapenzi baada ya kuyaficha kwa muda mrefu.

Mpenzi wa Mugambi, Mwanaidy Shishi alishiriki video ya kimapenzi ambayo inanasa hadithi yao ya mapenzi na kumbukumbu zote nzuri ambazo wameunda pamoja

Kitendo hicho kinadhihirisha wazi kuwa wawili hao wamesogeza uhusiano wao katika hatua nyingine baada ya Hassan kuibua swali kubwa ‘Will You Marry Me” na kwa mwonekano wa mambo ilikuwa ndiyo kubwa.

Matamshi na madai yake Edgar yaliibua hisia tofauti miongoni mwa wanamitandao na hiz8i hapa baadhi ya hisia zao;

Korir: For @edgarobare to have dinner,a home has to be broken.For him to have clout, popular persons have to be maligned.Whether it's true or not this stories, do not strive to make a living out of subjecting pple to suffrage. Imagine if what he has alleged is false, the damage is done

Shark: Hakuna watu wa kureport hii account?

Fredrick: Hizi umama na ujinga ya wakisii. Do something better. Kuharibia watu hustles in the name of leaks. Unakaa aje kushare nudes za wanaume wenzako. Kumanina zako

Ijamy: Wakisii si mnapenda vitina na mshene