- Othuol amekuwa akiugua tangu mwaka jana
- Mchekeshaji huyo alikuwa Miongoni mwa walionufaika na shilingi elfu 10 za kuwasaidia wasanii wakati wa corona
- Churchil,wenzake katika fani na wakenya wametumia mitandao ya kijamii kumuomboleza
Mchekeshaji wa Churchill show Ben Morris anayefahamika kwa jina lake la usanii Othuol Othuol ameaga dunia .
Staa huyo wa jukwaa la vituko aliaga dunia katika hospitali ya KNH ambako amekuwa akipokea matibabu baada ya kupatikana na uvimbe katika ubongo wake
Mwanzilishi wa kipindi hicho Danile Ndambuki amethibitisha kifo cha Othuol akiandika katika mitandao ya kijamii ;
‘Maisha ni mafupi .Mungu hutoa na mungu huchukua .Sote tuko safari . Lala salama Othuol’
So sad Ben Maurice popularly know as Othuol Othuol has gone to be with the Lord after a long struggle with Brain Tumor. May he Rest In Peace.
Posted by Daniel "Churchill" Ndambuki aka Mwalimu King'ang'i on Sunday, October 11, 2020
Othuol amekuwa nje na ndani ya hospitali kwa muda .Wiki chache zilizopita alikimbizwa hospitalini huku marafiki na jamaa zake wakiwataka wakenya kumuombea . Wakenya wengi wamefurika mitandao ya kijamii kumuomboleza Othuol .
Life is the greatest gift that God has given us and Death is only a bridge to eternal life with God
— Layla (@darkbeauty_ke) October 11, 2020
RIP Othuol😢
Churchil, Najua sisi kama mafans wa show tunaumia buy umeumia zaidi. What is happening with our Laugh industry. Wasanii wanaenda sana. I just hope Njoro alisaidika, I know you don't want to hear another death
— Thomas Thairu (@thairu_thomas) October 11, 2020
So sad.. Condolences to the Churchill show community, and sincere condolences and fortitude to the family during this difficult time.
— Stanley sillah (@StanleySillah) October 11, 2020
RIP
RIP pic.twitter.com/LKgLPRFsKa
— Mukami Wa Embu (@MukamiWaEmbu) October 11, 2020
RIP othuol. Some are castigating @MwalimChurchill forgetting hes the same person who gave them a platform to grown and shine,some lived beyond their means. I like what ogutu said, "if theres any comedian whom churchil owes anything to come out" clearly churchil hana deni ya mtu.
— Sanitizer (@benakims) October 11, 2020
Poleni Wakenya. Nilikuwa napenda jokes zake sana. Especially ile alipiga ya Kunguni. Mungu amlaze mahali pema peponi
— Kelvin Kagambo (@Kelvin_Kagambo) October 11, 2020