Corona

Kenya yathibitisha visa 124 vipya cya Corona

Idadi ya waliofariki inasalia kuwa 1,685

Muhtasari
  • Katika  ujumbe wenye agizo la rais Uhuru Kenyatta kuongeza muda wa kafyu  Kinyua amesema visa hivyo ni kutoka  sampuli 2,855
  • Hakukuwa  na vifo vilivyotokana na virusi hivyo  katika saa 24 zilizopita .

 Mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kinyua amesema Kenya leo imesajili visa 124 vya Corona  .

Katika  ujumbe wenye agizo la rais Uhuru Kenyatta kuongeza muda wa kafyu  Kinyua amesema visa hivyo ni kutoka  sampuli 2,855

  Jumla ya sampuli zilizopimwa tangu machi  sasa ni 1,055,691 . Hakukuwa  na vifo vilivyotokana na virusi hivyo  katika saa 24 zilizopita . Idadi ya waliofariki inasalia kuwa 1,685