Kafyu yaongezwa

Uhuru azidisha kafyu hadi machi tarehe 12 huku shule zikifunguliwa

Muda wa kutekelezwa kwa kafyu umezidishwa ,amesema waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi .

Muhtasari
  •  Hatua hiyo imechukuliwa huru wanafunzi wakijitayarisha kurejea shule kuanzia kesho jumatatu 
  •  Rais uhuru Kenyatta awali alikuwa ameongeza muda wa kafyu  hadi januri tarehe 3 .
Waziri wa Usalama wa ndani Fred Matiang'i

Muda wa kutekelezwa kwa kafyu  umezidishwa ,amesema waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi .

 Hatua hiyo imechukuliwa huru wanafunzi wakijitayarisha kurejea shule kuanzia kesho jumatatu 

 Rais uhuru Kenyatta awali alikuwa ameongeza muda wa kafyu  hadi januri tarehe 3 .

Matiangi ameyatagaza hayo  siku ya jumapili wakati mawaziri kadhaa walipowahutubiua wanahabari kuhusu matayarisho ya kufunguliwa kwa shule .

"  Rais Leo asubuhi ametoa agizo rasmi  kuongeza muda wa kafyu pamoja  na  kanuni nyingine za kukabiliana na maambukizi ya Corona’ Matiangi amesema