Tanzia:Mbunge wa Juja Francis Munyua aaga dunia

Muhtasari
  • Mbunge wa Juja Francis Munyua aaga dunia,Alikuwa anaugua ugonjwa wa  saratani ya ubongo.

 Mbunge wa Juja Francis Munyua Waititu, maarufu Wakapee, ameaga dunia.

Alikuwa anaugua ugonjwa wa  saratani ya ubongo.Familia ilithibitisha kwamba alifariki Jumatatu jioni wakati akipokea matibabu katika Hospitali ya MP Shah jijini Nairobi.

Kutoka kwetu wanajambo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.