Makali ya corona: 8 waaga dunia,692 wapatikana na corona

Muhtasari
  • Kenya imesajili visa vipya 692 vya maambukizi ya Covid-19 kutoka kwa sampuni 6,883 chini ya saa 24 zilizopita
  • Visa hivyo sasa vinafikisha maambukizi ya Corona nchini Kenya hadi 191,712 na kiwango cha maambukizi cha asilimia 10.1%

Kenya imesajili visa vipya 692 vya maambukizi ya Covid-19 kutoka kwa sampuni 6,883 chini ya saa 24 zilizopita.

Visa hivyo sasa vinafikisha maambukizi ya Corona nchini Kenya hadi 191,712 na kiwango cha maambukizi cha asilimia 10.1%.

Kulingana na wizara ya afya watu 8 wameaga dunia kutokana na viruis vya corona, na kufikisha idadi jumla ya 3,754 ya walioaga dunia.

Jumla ya wagonjwa 123 wamepona,Idadi ya waliopona sasa ni 180,543.

Mengi yafuata;