Je, umeona offers moto moto za hii wiki kutoka Naivas Supermarket? Hii holidei tusahau siasa kidogo & enjoy CRAZY discounts ukishop Naivas.
Tunajua Wakenya wanalalamika sana kuhusu kuongezeka kwa bei za bidhaa za nyumbani. Mara mafuta ya kupika imepanda bei, unga pia imepanda bei. Ndio maana tunataka ufanye shopping kwa supermaket ambayo inaangalia mfuko wako kwa kukupea bei nafuu zaidi.
Kama bado, hujatembelea Naivas iliyo karibu nawe kuna mali safi sana inakungojea! Watakusave na offers za kukuokolea in every sector.
Naivas Supermarket imekuwa ikifanya kazi nchini kwa zaidi ya miaka 30 na ni mojawapo ya duka kuu kubwa nchini Kenya. Wako na zaidi ya branches 83 ikiwemo Naivas Kiambu Mall ambayo imefunguliwa hivi majuzi na inapatikana Kiambu town.