ROYAL MABATI

Finish ya Ki-sure na Royal Mabati - Kwa nini Royal Mabati?

Bidhaa za Royal Mabati zimeidhinishwa kuwa bora zaidi na zina alama ya ubora wa juu ya Super Brand.

Muhtasari
  • Royal Mabati ni mshirika wako wa ujenzi ambaye anakuhakikishia huduma za kutegemea  kwa bei nafuu zaidi.
  • Baada ya kutoa huduma bora kwa miaka mingi, Royal Mabati inakupa hakikisho la huduma za viwango vya juu zaidi.

Kujenga ni hatua muhimu sana kwa nchi yoyote inayokua. Kila siku mamia ya maelfu ya mijengo  inaendelea katika sehemu mbalimbali za nchi.

Mara kwa mara tunajikuta tukihitaji kujenga nyumba za kuishi, nyumba za kukodisha, sehemu za kufanyia biashara  vibanda na za matumizi mengine muhimu.

Wakati mwingine tunahitaji kufanyia nyumba zetu marekebisho ama kuongeza ukubwa wake.

Ili kuwa hakika na ubora wa  jengo lako, unahitaji washirika wa kuamika. Washirika ambao ukifanya kazi nao, basi hutakuwa na wasiwasi wowote kuhusu viwango vya jengo lao.

Jengo bora ni sharti liwe na paa nzuri. Paa ambalo litakuhakikishia usalama wako, mali yako na chochote ambacho unakusudia kuweka ndani ya nyumba.

Kuwa na paa bora ni kumaanisha  kusaka mabati bora zaidi na ambayo yatakupa uhakika wa huduma za kudumu.

Huenda unajiandaa kujenga na umekuwa ukishangaa mshirika yupi wa mabati atakuhakikishia huduma ambayo hutajuta? Basi usiwe na wasiwasi tena, Royal Mabati ndiye rafiki katika ujenzi ambaye umekuwa ukisaka.

Royal Mabati ni mshirika wako wa ujenzi ambaye anakuhakikishia huduma za kutegemea  kwa bei nafuu zaidi.

Bidhaa za Royal Mabati zimeidhinishwa kuwa bora zaidi na zina alama ya ubora wa juu ya Super Brand.

Mafundi wengi wanapendelea kutumia bidhaa za Royal Mabati kutoka na ubora wake na wanaelewa kuwa ni hakikisho ya kazi safi kwa wateja wao.

Baada ya kutoa huduma bora kwa miaka mingi, Royal Mabati inakupa hakikisho la huduma za viwango vya juu zaidi.

Kwa nini uchague Royal Mabati?

Kuna sababu chungu nzima kwa nini unashauriwa kukimbilia bidhaa za Royal Mabati. Mwanzo bidha za Royal Mabati zimeidhinishwa  kwa ubora wake. Kando na ubora, Royal Mabati ni mshirika bora wa ujenzi kwa sababu:

i) Royal Mabati wanakuhesabia gharama ya jengo lako bila malipo.

ii) Wanakusafirishia bidhaa yako mpaka sehemu yoyote ya nchi  bila malipo ya ziada.

iii) Wanakupatia huduma ya lipa polepole.

iv) Unaweza kuwekewa bidhaa ya chaguo lako baada wataalam wa paa kutoka Royal Mabati kuzifanyia uchunguzi wa kina.

v) Ukiwa na Royal Mabati, umehakikishiwa ubora wa juu.

Bidhaa za Royal Mabati zinapatikana kote nchini. Tembelea tawi  la Royal Mabati lililo Nairobi CBD katika Twiga Towers, kwenye barabara ya Moi Avenue ili kupata punguzo la bei la kusisimua.

Matawi mengine yako Kisumu, Kisii, Meru, Kericho, Eldoret na Nakuru na Makao Makuu yetu yako katika eneo la Mlolongo  kwenye barabara ya Mombasa Rd.

Kwa usaidizi zaidi piga nambari 0722638383 au tembelea website yetu royalmabati.co.ke  na utaelekezwa kwa tawi lililo karibu.