5 wahofiwa kufariki baada ya jengo kuporomoka Kitengela

Muhtasari

Polisi na maafisa wengine wa uakoaji tayari wamewasili na shughuli za uokoaji zinaendelea.

Image: SCREEN GRAB

Watu watano wanahofiwa kupoteza maisha yao baada ya jengo kuporoka mjini Kitengele.

Polisi na maafisa wengine wa uakoaji tayari wamewasili na shughuli za uokoaji zinaendelea.

Maelezo zaidi yaja...