Picha za baadhi ya wanafunzi waliotamba katika mtihani wa KCPE 2022

Jumla ya wanafunzi 1,244, 188 walifanya mtihani wa KCPE mwaka 2022.

Muhtasari

• Wanafunzi wawili walioibuka washindi katika mtihani wa KCPE 2022 ni Lewis Omondi na Robinson Fwaro. Wote wawili walipata alama 431.

Fwaro Robinson aliyepata alama 431 katika shule ya msingi ya Christ the king/ Picha na Tony Wafula

Wanafunzi wawili walioibuka washindi katika mtihani wa KCPE 2022 ni Lewis Omondi na Robinson Fwaro. Wote wawili walipata alama 431.

Otieno Lewis Omondi Glen mwanafunzi bora, alizoa alama 431, Shule ya Mumias Boys.

Image: HISANI
Mwaniki Baraka Mumo alipata alama 424. SHULE YA MSINGI MANISPAA YA KERUGOYA . Mwanafunzi bora Kaunti ya Kirinyaga.

Justin kariuki shule ya msingi ya Rwangondu, alama 418.

Opiti Alvan Ondiek, Elimu A cademy Kisii, alama 406.

Wesley Israel, shule ya msingi ya Christ The King Primary School, alama 416.