Ni siku ya wanawake duniani,je wanawake wanaadhimisha nini?

Machi 7 ni siku ya kusheehekea wanawake duniani.

Muhtasari

Maadhimisho ya siku ya wanawake tarehe 8 Machi yananuiwa kuwa ukumbusho wa athari kubwa ambazo wanawake wamekuwa nazo na ambazo wataendelea kuwa nazo katika jamii.

Tarehe 7 Machi ni siku ya wanawake duniani.Ni siku ya kusherehekea mchango wa wanawake  katika amii,uchumi na hata katika ulingo wa siasa.Zaidi ya hiyo siku hii inaangazia pia juhudi za kuhakikisha  usawa wa kijinsia.

Mada ya mwaka huu kuhusu siku hii ni uvumbuzi na teknolojia kwa usawa wa kijinsia.Ni nafasi ya kuangazia juhudi zilizofanywa kuhakikisha usawa huo na hata  juhudi zinazohitajika bado ili kufanikisha usawa wa kijinsia na kuhakikisha kuwa wanawake wana nafasi sawa katika nyanja zote za maisha.

Heri ya siku ya wanawake duniani kwa wanawake wote  ambao wamepinga kanuni za jinsia,kuvunja vizuizi na kuwapa nafasi na kutia nguvu wimbi lijalo a viongozi.

Maadhimisho ya siku ya wanawake tarehe 8 Machi yananuiwa kuwa ukumbusho wa athari kubwa ambazo wanawake wamekuwa nazo na ambazo wataendelea kuwa nazo katika jamii.

Katika nyanja zote,haki za wanawake ni muhimu.Je wamsherehekea nani?