Imani ya ndugu zake Mariam kwa mswidi huyu ilikuwa ya juu sana.
Walisema moyoni kuwa Bassen atakuwa mwokozi aliyetumwa na Mungu kutegua kitendawil hicho.
Soma hadithi nyingine;
Hii ni siku ya sita tangu gari ya mama na mtoto wake kutumbukia Bahari Hindi.
Ndoto ya kuwapata sasa inaonekana kuzima baada ya mpiga mbizi huyu kushindwa.
Soma hadithi nyingine;
"Nimegundua kuwa hali ilivyo hapa sio vile nilikuwa nakusudia..." Bassen alihadithia wanahabari.
Alikuwa na msemaji wa serikali Col Cyrus Oguna, familia Kighenda, 35, na vikosi vingine vya wanamaji wanaosaidia katika juhudi za uokozi.
“Kufikia sasa, hatujaweza kufaulu," Msemaji wa serikali.
“Tutatumia roboti katika zoezi la kutafuta na kukusanya data," Alisema Oguna.
Soma hadithi nyingine;
"Halitakuwa jambo rahisi. Hiyo nina uhakika.' Bassen.
“Tutarejea Jumamosi (Leo) ili tuzidi kutafuta suluhu...Naomba tuwe na imani kuwa kesho itakuwa siku njema." Alisema Oguna.