harmonize

Harmonize kutoa album mwaka huu

Staa wa Muziki wa Bongo Flava Harmonize ametangaza kutoa album inayoitwa “AfroEast” mwaka huu wa 2020.

Aliandikwa kwenye Instagram kuwa, “I’m bringing all my friend in (1) Trust me this is #AfroEastAlbum I’m Ready 2020”

Wanamziki wengi wametoa album mwaka uliopita wakiwemo Fena Gitu, Hart The Band, Arrow Bwoy, Juma Jux na wengine wengi.

Itakumbukwa kuwa Diamond Platnumz pia alitoa album yake ya ‘A Boy From Tandale’ ambayo aliizindua hapa nchini Kenya mwaka 2018.

Hii ni baada ya Konde Boy kudondosha nyimbo kwa jina “Hainistui” inayokisiwa kuwa inalenga wana-WCB.

Staa wa bongo Harmonize atangaza kuzamia siasa 2020

Kwenye nyimbo hiyo, amenukuu maneno ya Stivo Simple Boy “Inauma Ila Itabidi Uzoee”

Photo Credits: Instagram

Read More:

Comments

comments