tanasha 1

Hata kama anakulipua lungula hatujui sisi, Tanasha akana madai kuwa Jamal ni mpenziwe

Tanasha Donna sasa ameamua kupasua mbarika baada ya madai kuipuka kuwa alikuwa anachumbiana na mwanahabari Jamal Gaddafi.

Akiwa kwa mahojiano na stesheni moja ya humu nchini ,Tanasha amesema Jamal ni kama nduguye kwake.

tanasha

Kama sijabusu kisima cha asali, hawezi kunipa haki yangu ya ndoa- Asema mwanamume

Ameongezea kuwa Jamal ni miongoni mwa watu wanaofanikisha kazi yake ya usanii na hivyo madai hayo ni ya kupotosha tu.

JAMAL IS IN MY TEAM, I HAVE A VERY SMALL TEAM AND WE ARE ALL VERY HARD WORKING. JAMAL IS ALSO HELPING MANAGE A FEW OF MY THINGS.WE ARE JUST ONE TEAM WITH ONE DREAM. JAMAL IS MY BROTHER, I KNOW HIS SISTER AND HE HAS A VERY BEAUTIFUL WIFE AND A BEAUTIFUL CHILD AS WELL, AND I RESPECT THEM FULLY. Amesimulia Tansha

jamalandtasha

Sponsor wangu ana chuma fupi ya doshi ,nikimwambia hanitoshelezi haskii hata! Asimulia Asha

Kuhusiana na iwapo Jamal ni mpenziwe, Tanasha alisema haya.

JAMAL IS JUST MY BROTHER, HE IS MY FAMILY NA HATA MWENYEWE ALIULIZWA HILO SWALI AND HE MADE IT CLEAR THAT WE ARE JUST A TEAM AND WE ARE VERY PROFESSIONAL BUT ALWAYS WATU WATATAFUTA SOMETHING TO SAY, OUT OF ANYTHING.Amesema Tansha.

Usemi wake unajiri wakati ambapo amesema kuwa Diamond ametupilia mbali maswala ya kumsaidia kumlea mtoto.

Tanasha 1

Celebs ambao wakivalia kaptura hufanya Mjulus wa wanaume kuwa ngangari

Akiwa kwa mazungumzo mengine na mwanahabari wa humu nchini, Tanasha alisema kuwa yeye ndiye mlezi wa mwanawe na hatawahi kukosa chochote maishani.

I HAVE BEEN DOING IT ALL ON MY OWN TO BE HONEST, I WILL BE 100% HONEST WITH YOU.HE IS NOT SUPPORTING AND I’M DOING IT ON MY OWN AND I DON’T NEED HIS SUPPORT TO BE HONEST. Amesimulia kichuna huyo.

 

Photo Credits: radio jambo

Read More:

Comments

comments