Hatua ya kufungua uchumi wa taifa italingana na namna kaunti zilivyojipanga kukabiliana na corona- Uhuru

EbXRciJWAAUHcJg.jfif
EbXRciJWAAUHcJg.jfif
Rais Uhuru Kenyatta amesema hatua ya kupunguza masharti yaliyowekwa na serikali kama njia ya kupunuza kusambaa kwa virusi vya corona ,italingana na namna majimbo yote 47 nchini yaliyovyojiandaa kushughulikia wagonjwa wa virusi hivyo.

Uhuru amesema ipo ya magatuzi nchini kuboresha sekta ya afya ili kukabiliana na maambukizi ya virusi hivyo.

Akizungumza kupitia njia ya video kwa mkutano uliowahusisha magavana nchini Uhuru alisema ni sharti majimbo yote nchini yawe yamejiandaa vilivyo na kutimiza maagizo yalikuwa yamewekwa na wizara ya afya.

"County readiness to respond to new imported cases of infection will largely determine our national readiness to re-open the country as a whole. "I say this because the nation is the sum total of all the 47 counties. If the counties have met the necessary thresholds, then the nation will be ready to re-open," alisema Uhuru.

Katika mkutano huo uliohudhuriwa na naibu wake William Ruto,gavana wa Kakamega Wyclife Oparanya na ambaye ni mwenyekiti wa baraza la magavana nchini ,Oparanya alisema kuwa ni majimbo 12 pekee kati ya 47 yaliyotimiza kutenga vitanda 300 huku kaunti zingine zikiwa zinaendelea kutimiza haki hiyo.

"Through your directive that allowed county governments to procure non-pharmaceuticals from other agencies, counties have enhanced their response measures," Oparanya