Hatuachani,' Rotimi awaambia wenye wivu na Vanessa kuitikia

Vanessa Mdee kwa sasa ni mchumba wa muigizaji wa hollywood Rotimi, na wanaishi pamoja katika nchi ya ng'ambo, kwa muda sasa wakosoaji wa Vanessa wamekuwa wakimkosoa na kumwambia kuwa wataachana na mpenzi wake Rotimi.

Mdee alipokuwa anarekodi video yake katika mtandao wa kijamii wa instagram Rotimi alionekana na kusema. "Hatuachani."

Mashabiki wa Vanessa walijikamilishia na kusema alisema maneno hayo kwa ajili ya wakosoaji ambao huwa wanasema wataachana tu.

Vanessa alifungua moyo wake na kueleza mashabiki wake vile anampenda Rotimi na vile upendo wake ni wa maana.

Huku akinakili haya,

"I HAVE BEEN IN THE INDUSTRY FOR 13 YEARS AND I HAVE NEVER TAKEN A BREAK. I HAVE FINALLY FOUND SOME TIME TO DO WHAT VEE LIKES. TO CHILL.

I FOUND LOVE, BEAUTIFUL LOVE. I AM SO HAPPY." Alisema Vanessa.

Aliendelea na kuwashawishi mashabiki wake watumie muda wao vyema,

"FIND TIME FOR YOURSELF ESPECIALLY IN THIS TIME OF STILLNESS. REALIGN YOURSELF, PRAY, RECONNECT WITH GOD. TAKE CARE OF YOUR FAMILY AND LOVED ONES AND BE STILL AND KNOW THAT HE IS GOD."

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki wa mdee baada ya kupost video hiyo.

alliaoyandoYou is gorgeous honey…sending you love n light dada ❤️💛💚
kansiime256_🔥🔥🔥🔥Oh how this just makes my heart swell gurl🖤
tracywanjiru_ Loved everything about this❤️❤️❤️
zarithebosslady We love u babe
akotheekenya Mummy my sweetie❤️❤️