Haya hapaa!!! Mambo Zari, Hamisa na Tanasha wanapaswa kufanya ili kumfunza Diamond adabu

BeFunkyCollage1-696x696
BeFunkyCollage1-696x696
Kwa hakika Diamond ni 'father Abraham' jina ambalo alipewa na mashabiki wake baada ya kuwa na watoto na baby mama watatu.

Miezi kadhaa waliachana na aliyekuwa mpenzi wake Tanasha huku mengi yakisemwa kuwahusu, huku wengi wakimlaumu mama Dangote kwa mambo yote ambayo mwanawe amekuwa akiwafanyia wasichana wa wenyewe.

2.Kuendelea na maisha kama kawaida 

Zari alipoona hamna maisha kati yake na Diamond alimtema kama takataka au kitu ambacho hakina maana

Hamisa akiwa katika mahojiano alisema hana haja ya kurudiana na Diamond, na hajapata mchumba wa kupendeza roho yake

Tanasha anajaribu kuendeleza maisha yake lakini machungu anayo bado ushauri wangu kwake ni endelea na maisha kama kawaida kama vile wale wengine wameendelea.

3.Wapeni watoto wenu maisha mema na chochote watakachotaka

Njia nyingine ya kumpa Diamond adabu ni hakikisheni watoto wenu wanaishi maisha ya kifahari na kuwapa ambacho wanataka katika maisha yao

Kupitia mitandao wa kijamii Zari huwa anawapa watoto wa Diamond maisha mema kamili

4. Kuweni na uchanya kila wakati

Watatu hao wakiwa na mafikira ya kusaidia kila wakati hamna kitu chochote ambacho kitawarudisha nyuma wala kuwafanya walie na kumfikiria Diamond.