Hebu hapa na tuone jinsi ya kuipamba wikendi

Wikendi ni wakati maalum wa familia kukaa pamoja. Wakati mwingi wazazi huwa wapo pale nyumbani baada ya kazi ya juma nzima. Huu haswa ndo wakati wa wazazi kukaa na watoto, kutenga wakati kuona kazi yao wanayofanya shuleni. Huu ni wakati mwafaka kuwafurahisha watoto kwa michezo ya pale chumbani, kuzuru maeneo tofauti na kuona madhari tofauti.

Pata uhondo hapa:

Hebu hapa na tuone jinsi ya kuifanya wikendi iwe freshi na ya kupendezea.

Mchezo wa kombe au bakuli

Mchezo kama huu huwa mwema zaidi kwa familia. Unaweza ukachezewa chumbani au ata katika maeneo ya burudani. Kila mtu pale nyumbani huwa anahusika vizuri zaidi.

Pata uhondo hapa:

Michezo ya bodi

Huu ni mchezo mzuri kwa watoto kwani ata shuleni wanaucheza.

Tazama hapa baadhi ya michezo mbalimbali:

Hadithi imehaririwa na kutafsiriwa na Abraham Kivuva