Hii Kenya hatuhami!Njambi pabaya baada ya kusema amemiss kupata ujauzito

NA NICKSON TOSI

Muigizaji wa kipindi cha Real househelps of kawangware Njambi ama kwa jina kamili Njeri Gachomba,amejikuta pabaya katika mtandao wake wa instagram na mashabiki wake baada ya kudai kuwa amekosa kwa muda kupata ujauzito.

Ujumbe huo alioutuma Ijumaa katika mtandao wake uliibua hisia kwa wakenya wengi wakidai kuwa labda alikuiwa amekosa mpenzi wake kwa muda ndiposa akaandika hivyo.

Njambi kwa upande wake aliwajibu hivi.

Huku mtu hawezi sema kitu innocently 😂 😂 😂

Hapa ni baadhi ya maoni ya wafuasi wake.

Deejaynicky : Pewa ingine kama Una miss

Call me damahb Unaweza shika ingine dear

Hype Jesse : Sema unataka ninii 😂 😂

Thebirirs : Pewa ingine kwa bill yangu