Efya Muthoni matumizi wa mtandao wa kijamii wa Twitter, alichapisha ujumbe mmoja ambao uliwaacha wengi vinywa wazi na kufungua fikra za wengi, alipoangazia jinsi wakenya huwasaliana, ikilinganishwa na watu kutoka maeneo mengine.
Kusema ukweli nimekuwa nikipitia orodha ya maneno ambayo wakenya hutumia kila siku kuonesha hisia tofauti, na nimeangua kicheko kila mara.
Tazama baadhi ya maneno hayo.
Watu wengine vs Wakenya
I'm ill prepared for these exams - Bora unajua main points ku -explain sio shida
He looks weird - Anakaa sijui aje
You are funny - Uko na ufala
That was wise - Umeongea kaa watu ishirini
You're tripping - Jiheshimu nani
That's too expensive - Na kesho unafungua saa ngapi?
Stop misbehaving - Unachoma
You are looking sharp - Budah umeamua uwakunywe uwamilize
Provide proof to your stories - Si ni mimi nakuambia
Ask for your change in a matatu -Nashukia hapo mbele
I don't want to talk about it - Kanyagia hiyo story
Have a good day - Wacha nikucall baadaye
You guys are a cute couple - Mtaachana tu
Ask for the change after buying something - Kwani mkate ni mia mbili?
Ask people we have offered a lift to get out - Si tunataka kuingia hivi tao. Tukueke wapi?
I won't show up - Najiskia funny funny
Funga safetybelt - Kuna polisi hapo mbele
You are handsome - Wewe unakaa kukua na madem wengi
i'm broke - Kuna kitu nategea
Come and eat - Nisikuite mara mbili
Thank you - Umeweza
Beautiful - Mali safi
Ask if he's single - Mimi staki kuchomwa na maji moto
I agree with you - Pewa mbili nakam
You are overreacting - Sasa unataka kulia?