Zari admires Sonko

“Sonko ni mtanashati na ninampenda,” asema Zari

Mfanyabiashara maarufu mganda anayeishi Afrika Kusini amekiri mapenzi yake kwa gavana wa Nairobi Mike Sonko.

Aliwashangaza wengi hivi majuzi aliposema wakati wa mahojiano katika kituo kimoja Cha redio Cha Afrika Kusini, Jacaranda FM, kuwa amekuwa na hisia za kimapenzi kwake Sonko kwa muda mrefu Sasa.

Zari ambaye pia alikuwa mke wake mwanamziki maarufu was kibongo Diamond Platnumz, alichukua fursa hiyo kumchafulia jina mwanamziki huyo kwa kusema kuwa anatabia za kitoto na hajakomaa akilinganishwa na gavana Sonko.

Alisema kuwa Sonko ni mwanaume kamili na tena huwasaidia wasiojiweza, kama tu vile marehemu mme wake wa hapi mbeleni  Ivan Semwanga.

Zari
Zari

Zari ambaye ni mama wa watoto watano alisema,

I want to reveal my love for the handsome Nairobi governor Mike Sonko. he is the man I have secretly admired for a long time. I love this handsome governor because he is a man of impeccable character and passionate convictions. he is not as boyish as the other kid who has been chasing me around.

Alienda kusema kuwa ana mipango ya kuja Nairobi mwezi Desemba na anatumai watapatana.

If you see mike, please pass a word to him and tell him someone cares about him. I love this man because despite being powerful, he shares traits with my late beloved husband Ivan who loved to help the poor.

Mwaka 20118, Zari alikuwa mgeni mheshimiwa katika tamasha ya the Color Purple Concert ya uchunguzi wa Ugonjwa wa saratani hapa Jijini Nairobi iliyoandiliwa na mama wa kaunti Primerose Mbuvi.

Nina uhakika Diamond hatakosa la kusema kuhusiana na haya.

Read here for more

IMETAFSIRIWA NA TINA MWAMBONU

Photo Credits: Courtesy

Read More:

Comments

comments