Hivi sasa!China yafadhili mradi wa kujenga kituo cha kukabili corona- Xi Jinping asema

EYS4EsDWsAAZX6k
EYS4EsDWsAAZX6k
Huku mkutano wa kimataifa wa kutathmini afya ulimwenguni ukiratibiwa kufanyika Geneva,rais wa Uchina Xi Jinping amesema kuwa taifa lake linafadhili mradi kubuni kitengo cha kukabiliana na virusi hatari vya corona wenye kima cha bilioni 8 na ambao uko katika taifa la Kenya.

Xi amesema hospitali kutoka kwa taifa lake pia zitashirikiana na hospitali zingine 30 kutoka bara la Afrika ili kufanikisha vita dhidi ya corona.

Kenya itatumika kama makao makuu ya mradi huo .