Hospitali ya Shalom Athi River imefungwa - Mutua asema

Ebfk0eMXsAAvbS-
Ebfk0eMXsAAvbS-
Gvana wa jimbo la Machakos Afred Mutua amethibitisha kufungwa kwa hospitali ya Shalom iliyoko eneo la Athi River baada ya mgonjwa mmoja wa corona kufariki.

Kulingana na Mutua, mwathiriwa huenda aliambuikizwa virusi hivyo akiwa katika kituo hicho cha afya,

Amethibitisha kuwa muuguzi mmoja wa afya ameambukizwa virusi hivyo.

“Last night, my Government, after consultations with the Kenya Medical practitioners & Dentists Council & the Director General of Health, SEALED off Shalom Hospital in Athi River following deaths of some patients due to covid-19,”  Mutua.

Amewataka wakaazi wa kaunti hiyo kuwa watulivu wakati huu ambapo maafisa katika kaunti hiyo wanaimarisha viwango vya afya.

“I urge all Wananchi to be patient as we ensure all health facilities are safe so as to avoid hospital based infections that were witnessed in places like New York and several Italian cities,”.