11881764_1391135024518571_379368649_n

Huddah unapenda umbea ! Ashaanza kuuliza Tanasha maswali kuhusiana na mwanawe

NA NICKSON TOSI

Huddah Monroe mwanadada ambaye aliamua kubwaga manyanga hivi maajuzi katika mitandao ya kijamii akisema iwapo Khaligraph Jones hatawachana na yeye basi ataamua kumptia nunu yake ndiposa msanii huyo awachane na yeye.

Mara hii tena,Huddah ameonekana akimuuliza maswala Tanasha Donna kuhusiana na mwanawe na iwapo wanaendelea vizuru baada ya kuwachana na mpenziwe Diamond,hapa ni jumbe hizo.

Tanasha

Siku chache zilizopita mwanasosholaiti huyo alidai kuwa atahama katika mitandao ya kijamii iwapo paparazzi hawatagoma kutokana na vile anavyoishi maisha yake.

 

Photo Credits: Radio Jambo

Read More:

Comments

comments