pjimage (15)

Hunny, si tupate mtoto jamani? Mulamuah amwambia Vera Sidika

NA NICKSON TOSI

Wiki chache zilizopita Mwanasosholaiti Vera Sidika alijipata taabani katika mitandao ya kijamii aliponadi kuwa anapania kupata mtoto.

Haya yote yalianza baada ya kumjibu shabiki kwa jina Mega aliyekuwa amemuuliza mipango yake ya kupata mtoto.

‘Unapanga kupata mtoto lini ?aliuliza shabiki Mega’

Vera alimjibu kwa kuandika hivi.

2020/2021.aliandika Vera

verasidikalaunchingbusinessoffice

Katika ujumbe wake alioandika kwenye mitandao yake ,Vera aliandika hivi.

Nakosa mwana ,iwapo nitapona virusi vya Corona nitajikakamua kupata mtoto.aliandika Vera

Mcheshi Mulamuah baada ya kuona jumbe hizo aliamua kuvunja wengi mbavu na kumrai Vera Sidika waweke mipango ya kupata mtoto ,lakini muda mfupi baada ye mashabiki wa Vera walimkekeji wengine wakidai kuwa hatoshi mboga kamwe.

Hapa ni baadhi ya jumbe za wafuasi wa Vera walizoandika kuhusiana na wito wa Mulamuah kwa Vera.

 

 

 

Photo Credits: Radio Jambo

Read More:

Comments

comments