Hupati house! Khaligraph asimuliwa namna alivyobaguliwa na mhindi

Huku ulimwengu ukiendelea kukabiliana na swala la Ubaguzi wa rangi, msanii wa humu nchini Khaligraph Jones amesimulia namna alivyobaguliwa na jamaa mmoja mweye asili ya Kihindi alipokuwa anatafuta nyumba katika mtaa wa Lang'ata jijini Nairobi.

Khaligraph amesema kutokana na ngozi yake kuwa nyeusi ilimfanya kukosa kupata nyumba katika mtaa huo na kuambiwa kuwa jamii ya Kihindi pekee ndiyo inayoruhusiwa kupata nyumba katika eneo hilo alilokuwa amefurahishwa na jengo moja.

LAST YEAR I WENT TO LANGATA TO INQUIRE ABOUT SOME NICE HOUSES I HAD SEEN ON THE INTERNET, AFTER GETTING THERE WE WERE PREVENTED FROM ENTERING THE ESTATE CAUSE WE WERE TOLD WE AREN’T INDIANS, APPARENTLY ONLY INDIANS CAN OWN PROPERTY IN THAT AREA, NILJUA NI MAZISHI NIKARUDI KAYOLE POLEPOLE. THE OG WAS NOT RESPECTED. Amesimulia OG

Msanii wa zama Nazizi alikubaliana na matamshi ya OG akisema kitendo hicho kimekuwa kikifanyika kwa muda.

 YOOOO WORD !!!! AND THIS HAS BEEN HAPPENING FOR SUCH A LOOONG TIME ! THEY SAY VEGETARIANS ONLY.. AND EVEN IF URE VEGETARIAN AS LONG AS U BLACK HUPATI HOUSE. Alisema Nazizi.
Talia Oyando japo alionekana kama wa kumkejeli Khaligraph alikubaliana na matamshi hayo.

SO TRUE BUT WHY AM I LAUGHING AT THE OG WAS NOT RESPECTED 😂😂😂. Alisema Talia Oyando.