Huu ndo ushairi ambao Bob Collymore na Michael Joseph waliapa kusomeana

Mkurugenzi aliyeteuliwa kurithi nafasi yake Bob Collymore kwa muda alipata wakati mgumu jana katika misa takatifu ya kumpa heshima za mwisho mwendazake. Michael Joseph alitokwa na machozi akisoma ushairi katika misa iliyofanyika katika All Saints Cathedral jana.

Soma hapa;

Michael Joseph alikuwa na rafiki wa karibu wa Bob. Aliwaeleza waombolezaji kuwa yeye na Bob waliahidiana kusomeana ushairi huo katika mazishi iwapo mmoja wao atatangulia.

"Mwaka mmoja uliopita, Bob alinipa ushairi huu alioutoa katika kitabu. Tulikubaliana yeyote atatangulia kufariki atasomewa na mwenzake." Michael Joseph.

"I hope I can trust you, friends, not to use our relationship

As an excuse for an unsolicited ego-trip.

I have seen enough of them at funerals and they make me cross.

At this one, though deceased, I aim to be the boss.

If you are asked to talk about me for five minutes, please do not go on for eight.

There is a strict timetable at the crematorium and nobody wants to be late.

If invited to read a poem, just read the bloody poem. If requested

To sing a song, just sing it, as suggested,

And don’t say anything. Though I will not be there,

Glancing pointedly at my watch and fixing the speaker with a malevolent stare,

Remember that this was how I always reacted

When I felt that anybody’s speech, sermon or poetry reading was becoming too protracted.

Yes, I was intolerant, and not always polite

And if there aren’t many people at my funeral, it will serve me right."

Michael alieleza kongamano hilo kuwa sasa atazamia kuandika kitabu kinachokwenda kama My Life Safaricom. Joseph alisema kuwa kwa sasa amemaliza sura ya kwanza ya kitabu hicho na kuiita Bob.

Soma hapa:

Kwa majonzi zaidi Michael alimalizia kwa kusema kuwa angetaka zaidi Bob aishi sana ila Mungu ana mipango kwake.