Huwa natumia mamangu picha za sehemu nyeti -asema Huddah Monroe

89262147_861493714300495_1941518965678536453_n (1)
89262147_861493714300495_1941518965678536453_n (1)
NA NICKSON TOSI

Wakati wa mazungumzo baina ya watu wawili, mtu anaweza kukosea na kutuma ujumbe kwa mtu ambaye hakuwa anadhamiria kumtumia ujumbe huo.

Kwa mwanasosholaiti wa humu nchini Huddah Monroe akiwa kwa mazungumza na rafiki wake wa karibu amekiri kuwa amekuwa akimtumia mama mzazi picha zake za sehemu nyeti si mara moja bali ni kitu amekuwa akikifanya kwa muda!

Naam, nilituma picha kwa mamangu  na si mara moja bali nimekuwa nikifanya hivyo kwa muda  na ni kwa sababu huwa natumia watu wengi picha .

Nilimtumia picha yangu ya ''kisima cha asali'' lakini namshukuru Mungu kwani nilimwambia nilikuwa nimeitoa kwenye mitandao na akaamini. Mamangu ni mtu anayefahamu mambo mengi sana ya kimitandao na alizaliwa katika mitaa ya mabanda na hivyo anafahamu mambo mengi sana. Alisema Huddah

Monroe anafahamika sana katika mitandao ya kijamii kuhusiana na vile anavyoonyesha jinsi anavyoishi maisha ya kifahari kutokana na picha ambazo huwa anazituma kwenye mitandao yake ya kijamii.

Siku chache zilizopita, Huddah alidai kuwa amemalizana na kuwachumbiana wanaume kutoka Afrika Mashariki na sasa anamchumbia mwanamume anayesemekana kuwa na biashara Afrika ya kati.