‘ Huwa tunalumbana’ Dadake Akothee Cebbie azungumza baada ya posa

Cebbie
Cebbie
Kumekuwa na uvumi kwamba  Akothhe na dadake Cebbie wamekosana na hawazungumzi . Lakini Cebbie ameyakanusha   na katika mahojiano na CJ Atemo amesema hakuna uhasama kati yake na dadake  na kwamba tofauti za hapa na pale kati ya watoto wa nyumba moja ni jambo la kawaida .

“ Familia ni familia   na napenda  jinsi watu walivyokuwa wakinishambulia kwam,ba siwezi kupigana na raia wa single mothers(Akothee0 kitu ambacho watu hawajui ni  kwamba akothee na roho kama ya mamangu na nikipatwa na tatizo yeye ndoye atakayenipokea .

 Aliongeza

 Pia sisi hulumbana sana na kufikika kilele cha ugomvi .kitu ambacho watau hawjaui ni kwamba wakati mimi na kothee tunapopigana hakuna katika familia hiyo anayeweza kuingilia kwa sababu  hakuna anayeweza kutuleta pamoja .

  sisi hutafuta njia za kuzungumz ana siku hiyo(yalipofichuliwa mengi kumhusu) na sielewi mbona watu wanataka kujua iwapo mimi na yeye tunaongea .sio lazima tuwaonyeshe kwamba sisi huzungumza .

Anasema alishambuliwa kwa sababu ya hadhi yake kama ‘celeb’

 iwapo singekuwa Cebbie hakuna ambaye angezungumza . nalengwa kwa sababu nipo machoni pa umma kama dadangu  na pia kwa sababu wanafikiri kwamba nimepata kila kitu kwa njia rahisi  jambo ambalo sio la kweli .