Idadi Ya Wasichana Wa Vyuo Wanajihusisha Na Ukahaba Yaongezeka

Idadi ya wasichana wa vyuo wanaoshiriki ukahaba nchini imeongezeka marudufu.

Mwanaharakati wa haki za makahaba Peninah Mwangi anasema kwamba wengi wao wanajipata katika ukahaba kutafuta fedha za kukidhi mahitaji yao.

Ifuatayo ni kanda ya Peninah Mwangi akizungumzia kuhusu suala hilo.