I’m about to be intubated,’ Maneno ya mwisho ya daktari Adisa kabla ya kifo chake

Daktari Adisa Lugaliki, ndiye daktari wa kwanza humu nchini kuaga kwa ajili ya virusi vya corona, madaktari wamekuwa katika mstari wa kwanza ili kupigana na virusi hivyo.

Adisa aliaga mnamo tarehe 10 Julai, akipokea matibabu.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya Whatsapp Adisa aliwafahamisha marafiki zake kuwa amepatikana na virusi vya corona, haya mawasiliano kati yake na marafiki zake;

Waziri wa afya akitangaza maambukizi ya virusi vya corona ijumaa alikuwa na haya ya kusema kuhusu kifo chake Adisa.

"WE HAVE TODAY FOR THE FIRST TIME LOST A MEDICAL DOCTOR TO THE CORONAVIRUS DISEASE. I’M DEEPLY SADDENED BY THIS BECAUSE SHE CONTRACTED THE VIRUS WHILE WORKING TO SAVE THE LIVES OF OTHERS WHO HAD CONTRACTED THE VIRUS."

Hizi hapa baadhi za risala za rambirambi za wakenya wengi,

Edwin Esilaba Adisa Lugaliki My Lovely Sister. Dance with the Angels. This One has Hit Hard

KMPDU KMPDU mourns the death of Dr. Doreen Adisa Lugaliki who passed on due to COVID-19 contracted at the work place. We reiterate & remind GOK & ALL Private health facilities that the Welfare,Occupational Safety & Health of frontline workers is a non-negotiable Minimum!!

Dr Mercy Korir We have lost one of our own as a doctors’ fraternity to #Covid_19. A young doctor with so much to offer.

Dr Patrick Amoth Today is a sad day for our frontline healthcare workers. We’ve sadly lost one of us, Dr. Adisa Doreen Lugaliki, to #COVID19. This is a sad reminder that COVID-19 doesn’t discriminate in its attack. We’re ALL susceptible to its brutality. Sincere condolences from @MOH_Kenya

family

Dr Ouma Oluga Go well Dr. Doreen Adisa Lugaliki. You enjoyed the practice of gynecology. And then you were just beginning to get deeper into the career that you loved so much. We shall miss you dearly. Deep Condolences to the entire medical fraternity, friends and the family.