Ineos 1.59: Wakenya wamuombea Eliud Kipchoge mema

mama Rachel Ruto-compressed
mama Rachel Ruto-compressed
Bingwa wa dunia katika Olimpiki Eliud Kipchoge anatazamiwa kuvunja rekodi yake kwa kukimbia mbio za masafa marefu kwa muda wa masaa mawili maarafu kama Ineos 1.59 Challenge.

Kipchoge ambaye anatarajiriwa kushiriki katika mbio hiza kilomita 42, Jumamosi amezidi kutiliwa dua huku Wakenya pamoja na mashirika mbali wakiwa na matumaini tele.

Naibu wa rais William Ruto pamoja na mkwewe mama Rachel Ruto waliondoka Alhamisi kuelekea Austria huku wakisubiri kumshabikia Kipchoge atakaposhiriki mbio hizo.

"Kama jinsi tulivyofanya katika Monza Italy 2017, wakati Kipchoge alivunja rekodi kna kushinda mbio za marathon kwa muda was saa 2.00.25,  Tutashuhudia na kumshabikia katika Vienna Austria kama bingwa wa mbio wa kila wakati," Mama Rachel Ruto alisema.

https://twitter.com/MamaRachelRuto/status/1182203352039514113?s=20

@nasil Mburu atuma ujumbe wake wa heri njema huku akimwambia  kuwa yeye ni mkenya mwenzao na anastahiki ushindi

Naye William Chepkut ambaye ni mbunge wa Ainabkoi alimsifia sana na kuonyesha upendo na matumaini makubwa kwamba Kipchoge atavunja rekodi hiy

https://twitter.com/Chepkut_William/status/1181844110782746624?s=20