massawe-japanni

Jambo Massawe: Nimefunga bibi, hawezi lala na mwanaume mwingine

Eric kutoka Jamhuri alipiga simu huku akiwashtua watangazaji Massawe Japanni na Machari akidai kuwa yeye amemfunga mkewe baada ya kudai kuwa alikuwa ana hanya hanya.

Jambo Massawe: “Nilimkulia sister yangu bwana”

“Mimi nimefunga bibi complete kwani alikuwa ana hanya hanya sasa hawezi lala na mwanaume mwingine. I had come to realize she was cheating on me with a neighbor, niliskiatu fununu.” Alieleza Eric.

Akijaribu ku hanya wanakwama, hii kitu ni reality na I have the key yenye nilirusha lake Victoria. It is now six months down the line kutoka nimfunge.

Pia mimi siwezi gongana nje kwani pia naweza kwama. It is a two way traffic kwani hata nifariki hakuna mwanaume atamlalia.” Aliongeza akisisitiza kuwa mkewe ni mali yake.

Wawili hao wana watoto wawili na alidai kuwa alilipa elfu sitini kwa mganga.

Apart from elfu sitini nilizolipa nilipeleka nguo yake ya ndani na nikarusha Lake Victoria. Aliongeza.

Jambo Massawe: Nafikiria kumnunulia dada ya mke wangu shamba

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments