Je ni wapenzi? Tazama picha za Akothee na Nelly Oaks kitandani

Akothe
Akothe
Radio jambo imepata picha zake Akothe na Maneja wake wa nyimbo wakijivinjari kitandani.
Hata kama Oaks ndiye maneja wake Akothee kuna thibitisho kubwa kuwa wawili hawa wanachanganya biashara na mapenzi.

Kwa muda mrefu, Akothe amekataa  madai kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na maneja wake Nelly Oaks hata wakiwa kwenye safari zao za kujivinjari.

Wawili hawa, hawajakuwa wakiweka picha zao kwenye mtandao wa kijamii lakini huenda kwa sasa wamekuwa maswahiba wa ndani.