Je ni yeye kweli? Tazama picha za Betty Kyallo bila vipodozi

betty-kyalo-unflattering-picture-292x600
betty-kyalo-unflattering-picture-292x600

Watu wengi wanapofikiria watu mashuhuri nchini, wao huona ni kama miili yao iliumbwa kwa mtindo mwingine na wengine kuona watu hawa ni warembo zaidi kuliko mtu yeyote duniani.

Hata hivyo ni vyema tujue kuwa, sisi sote tumeumbwa kwa umbo mzuri sana na sote twapendeza.

Betty Kyallo ambaye ni mtangazaji mrembo sana aliweka picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kama hana mapambo yote ambayo huwa nazo akiwa anatangaza habari.

Picha hii ilinivutia sana kwani ilidhihirisha kuwa kila mtu ni mrembo na labda tu mtu akipaka mapambo ndipo huweza kubadilika na wengi kufikiri kuwa mtu huyo ameumbwa tofauti na wengine.

Tazama picha ya Betty Kyallo anapojitayarisha kuwavutia wengi kwenye televisheni kila siku.