Je? Unawafahamu mastaa wakimbiaji wa kike? Tazama hapa

Nchi ya Kenya ina umaarufu mwingi sana kwa ushindani mkubwa katika spoti. Wakimbiaji nchini wameweka historia kubwa zaidi katika rubaa za kimataifa. Wakenya wengi wameweza kujishindia zawadi kemkem kupita juhudi zao za mchwa za kupambana katika spoti.

Soma hadithi hii:

Tumekusogezea hapa mastaa wa kike ambao wamejituma katika ukimbiaji.

Lornah Kiplagat

Lorna alizaliwa Mei tarehe 1 1974 Uholanzi. Ni mkimbiaji wa masafa marefu. Alipata uraia wa Uholanzi mwaka wa 2003 na amekuwa akiwakilisha Uholanzi katika mashindano ya kimataifa.

Soma hapa:

Hilda Kibet

Janet Jepkosgei

Pamela Jelimo

Hadithi imehaririwa na kuchapishwa na Abraham Kivuva