Je,Diamond na Malaika ni wapenzi? Simba aandika jumbe kwa Kipusa huyo wa video ya ‘Jeje’

Mwanamuziki wa Bongo Diamond Platnumz  ametamba kweli katika fani ya muziki na u kuvunjika kwa uhusiano wake hivi maajuzi na mkenya Tanasha Donna umemfanya kuwa miongoni mwa watu wanaozungumziwa sana katika habari na mitandaoani .

Wimbo wake mpya ‘jeje’ umetazamwa na zaidi ya watu milioni tano katika youtube  lakinia wanachkiona wengi ni uhusiano  wake unaozidi kudhihirika na mrembo aliyeshirikwa katika video ya wimbo huo Malaika ,kutoka visiwa vya Reunion .Diamond  ameiweka picha yake na Malaika  mtandaoni akiwashukuru  mashabiki wake kwa kumuunga mkono  na kuenzi muziki wake. Ameandika ;

THANK YOU FOR CONTINUING TO MAKE #JEJE THE NUMBER ONE SONG…. STREAM / DOWNLOAD / WATCH & SHARE,’ HE CAPTIONED THE PHOTO ABOVE.

Katika posti nyingine  aliweka  picha yake na mrembo huyo  pamoja na  mistari kutoka kwa wimbo huo

I SWEAR YOUR LOVE GIVES ME FEVER…

ALL THE TIME YOU COME I DON DE SHIVER…

NA YOU WILL BE THE ONE JUS BELIEVE THAT, LADIVA, MY DIVA….

OOH YOU TURN BAD MAN TO SING NOW…

WITH YOUR SEX BODY CAROLINA…

FOR YOUR LOVE I GO FIGHT LIKE JOHN CENA…

HATA KAMA NIKIWA NGUVU SINA..

Diamond aliachwa na Tanasha  siku chache baada ya wimbo wa Jeje kutolewa . Inadaiwa Tanasha  amehofishwa na uhusiano wa karibu wa nmrembo huyo wa Jeje na Diamond  na kuna uvumi kwamba huenda ndiye kipenzi kipya cha msanii huyo .