Jepchirchir

Jepchirchir avunja rekodi katika mbio za wanawake Prague

Wakenya wametamba kwenye mbio za Prague Jumamosi Septemba 5 huku wakinyakua nafasi za kwanza kwenye vitengo vya wanaume na wanawake.

Jepchirchir alivunja rekodi ya mbio hizo kwa kukimbia kilomita 21.1 kwa saa 1:05:34 na kuondoa rekodi ya 1:06:11 iliyokuwa imewekwa na Netsanet Gudeta wa Ethiopia.

Jepchirchir

Wakenya wengi waliwapongeza wanariadha hao kwa kuweka nchi ya Kenya mbele, kutoka kwetu wanajambo tunawapa hongera zetu kwa bidii walioonyesha katika mbio hizo.

Mengi yafuata;

Photo Credits: maktaba

Read More:

Comments

comments